Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh.
Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa
Rosa Kempiski jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa
kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia
elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama
wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo
atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi
yuko mjini Kondoa kuendelea na ziara yake ya Mkoa wa Dodoma.PICHA NA
IKULU
Home
Unlabelled
RAIS Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani,jijini Nairobi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kama Bibi kama huyu wa miaka 85 anatumia ushawishi wake kuthubutu kuchangia maendeleo basi ni changamoto kwetu wote kuangalia tulikotoka tujipange kwa ajili ya kupaboresha. Tunachoweza kufanya tufanye tusitegemee msaada utatoka kwingine.
ReplyDelete