Gari aina ya Toyota Rav4,liko sokoni kwa gharama nafuu kabisa au waweza sema ni karibu na bure.Gari iko kwenye hali nzuri sana. Gia ni automatic, mafuta inayotumia ni petrol, imetembea 128,000 km. 

kwa atakayeihitaji,asasiliwane na ndugu kwenye Mawasiliano haya 
0683 206230
Linavyoonekana kwa nyuma na ubavu wa kushoto.
ndani.
Mbele.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ndugu ni vizuri ukaweka bei ili kupunguza simu zisizo na sababu .. mtu kama dau lake halitakaribia bei yako hatakusumbua kwa simu

    ReplyDelete
  2. sasa kwa nini unaficha plate number, ni muhimu tukajua Tanzania limefika lini na limetumika miaka mingapi kupitia mpangilio wa namba hizo.

    ReplyDelete
  3. asking price is very important, as well as when it was first registered in TZ, kwa maana liliingia mwaka gani tanzania,

    ReplyDelete
  4. Simu zenyewe bora ungekuwa hata unapokea tungekuelewa.

    ReplyDelete
  5. mbona namba zimefichwa? utafikiri gari ya wizi! tunaomba na bei tafadhali

    ReplyDelete
  6. dunia ya uwazi weka bei tushindane
    atakayeshindwa tujue

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...