Gari aina ya Toyota Rav4,liko sokoni kwa gharama nafuu kabisa au waweza sema ni karibu na bure.Gari iko kwenye hali nzuri sana. Gia ni automatic, mafuta inayotumia ni petrol, imetembea 128,000 km.
kwa atakayeihitaji,asasiliwane na ndugu kwenye Mawasiliano haya
0683 206230
Linavyoonekana kwa nyuma na ubavu wa kushoto.
ndani.
Mbele.
ndugu ni vizuri ukaweka bei ili kupunguza simu zisizo na sababu .. mtu kama dau lake halitakaribia bei yako hatakusumbua kwa simu
ReplyDeletesasa kwa nini unaficha plate number, ni muhimu tukajua Tanzania limefika lini na limetumika miaka mingapi kupitia mpangilio wa namba hizo.
ReplyDeleteasking price is very important, as well as when it was first registered in TZ, kwa maana liliingia mwaka gani tanzania,
ReplyDeleteSimu zenyewe bora ungekuwa hata unapokea tungekuelewa.
ReplyDeletembona namba zimefichwa? utafikiri gari ya wizi! tunaomba na bei tafadhali
ReplyDeletedunia ya uwazi weka bei tushindane
ReplyDeleteatakayeshindwa tujue