Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
wakiwa kwenye maandamano siku ya ufunguzi wa mashindano ya
SHIMIWI taifa yanayoendelea mjini Morogoro.
Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Ikulu wakimsikiliza Mgeni Rasmi
(hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI taifa
yanayoendelea mjini Morogoro.
Yameanza vema mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi Wizara
na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa kuendeleza ushindi na kung’ara katika
mashindano hayo yanayoendelea mjini Morogoro.
Mfungaji mahiri wa magoli wa timu ya mpira wa pete Ikulu aliyecheza
nafasi ya (G.S) Monica Kassy akiwania mpira dhidi ya wapinzani wao RAS
Morogoro wakati wa mechi ya ufunguzi ambapo Ikulu walishinda kwa
magoli 62 kwa11 dhidi ya wapinzani wao.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Ikulu wakifuatilia mchezo wa mpira wa
pete wanawake kati ya timu yao na wa wapinzani wao RAS Morogoro.
(Picha zote na Eleuteri Mangi MAELEZO)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...