Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.
Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kufyeka majani kwenye eneo la soko la sabasaba mjini Korogwe.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kujenga zahanati Mahenge kwa Mndolwa.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

sasa hapa safety inakuaje?
ReplyDeleteHata mimi naona Katibu ilibidi aweke gumboot hapo, mambo ya kulima peku wakati miguu imezoea soksi na viatu yana hatari zake.
ReplyDelete