Afisa habari wa klabu ya Maji Maji Nathan Mtega
-----------------
Uongozi Wa Klabu Ya Maji Maji Ya Mjini Songea Mkoani Ruvuma Unatangaza Kikosi Cha Wachezaji 26 Waliosajiriwa Kwa Ajili Ya Mashindano Ya Soka Ligi Daraja Kwanza Msimu Wa 2014-15.
Kikosi Hicho Ambacho Kitaingia Kambini Muda Wowote Kuanzia Sasa Kina Wachezaji Wapya 12 Ambaoni Osward Issa,Samir Said,Emmanuel Maganga,Ally Mohamed,Kudra Omary,Saud Fundikira,Mrisho Said,Idd Kipagule,Mohamed Omary,Yohana Kumburu Na Msafiri Abdalah Na Wachezaji Wa Zamani 14 Ni Pamoja Na Anthon Mwingira,Eliuta Ndunguru,Bahati Yusuph,Gerlad Mbena,Abdalah Aus,Ditram Nchimbi,Filoteus Mahundi,Mpoki Mwakinyuke,Alex Zegega,Sadiq Gawaza,Odo Nombo,Frank Sekule,Marcel Bonaventure Na Fredy Mbuna.
Wachezaji Hao Wote Taratibu Za Usajiri Wao Zimeshakamilika Na Uongozi Wa Klabu Unatoa Tahadhari Kwa Vilabu Ambavyo Vimeshaingia Mikataba Na Baadhi Ya Wachezaji Wa Klabu Ya Maji Maji Kuwa Kufanya Hivyo Ni Kukiuka Kanuni Na Taratibu Za Soka Na Klabu Haitakaa Kimya Kwa Sababu Wachezaji Wote Wa Maji Maji Wana Mikataba Kisheria Na Klabu.
Taarifa Imetolewa Na Afisa Habari Wa Klabu Ya Maji Maji Nathan Mtega

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...