Ankal akipata selfie na Missie Popular a.k.a MP, mmoja wa mabloga wakubwa wanawake nchini. Hapa ni katika sherehe za uzinduzi wa nyumba za makaazi za Shirika la Nyumba (NHC) za Medeli mjini Dodoma. Dada huyu ni mwanalibeneke wa siku nyingi na anajua anachokifanya. Keep it up Missie! Mtembelee BOFYA HAPA
Pia BOFYA HAPA
Pia BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...