Ankal akitafakari baada ya mwenyeji wake kutotokea...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mstitutiye hillaaa bwana, watu/watanzania wa new york wako wakarimu sana kuliko state zozote zile.

    ReplyDelete
  2. uncle na mimi naomba fulana kama hio nadhani inabahati sana/ngekewa ipo tuzungumze kama uko new York uncle kuhusu fulana fulana

    ReplyDelete
  3. Uncle uko New York. Karibu!

    ReplyDelete
  4. Uncle please na mimi the fulanazzz.

    ReplyDelete
  5. hahahahahahahahahahahahaahahahahaha dah

    ReplyDelete
  6. Ankal hapo nyuma yako kuna viatu vya kamanda akisahau baada ya kununuliwa vipya tunaomba muokotee

    ReplyDelete
  7. eh! Ze Fulanazzzzzzzzzzzzzz! again tulifikilia vibaka wameshalala nayo mbele kwa mbele

    ReplyDelete
  8. Ze Fulanazzzzzzzzzzzz at Ankal Kabwera New York teh!teh!
    wadau
    FFU Ughaibuni

    ReplyDelete
  9. Ankal niuzie furana hiyo mie nimefika dau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...