Marehemu Charos Saidi
Ushiwa
Ni Mwaka Mmoja sasa tangu ulipotwaliwa na Mungu tarehe 9 Septemba 2013, na kutangulia mbele ya haki. Ijapokuwa hupo nasi tena, kumbukumbu yako itadumu daima mioyoni mwetu.
Unakumbukwa sana na Mke
wako mpendwa Victoria; Watoto wako Honorati, Mendrada, Catherine, Joseph, Calist, Venans, Prosper,
Barnabas, Albin, na Goodluck; Wajukuu na Vitukuu wako; Mama yako mzazi Matarimo; Ukoo wa Ushiwa,
Wajomba zako, Ukoo wa Lerimo, Wakwe zako, ndugu, jamaa na marafiki.
Tutakukumbuka daima.
Mungu aipumzishe Roho yako katika Amani yake. Amina.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...