Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Samuel Sitta akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephene Wasira (kulia), Bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...