Walimu
waliokuwa wakiendesha mafunzo kwa watoto hao wakiwa katika picha ya
pamoja. Kutoka kushoto ni Beatha Qambayot, Zilpa Masunga, Mtendaji Mkuu
wa Olimpiki Maalumu Tanzania, Frank Macha na Alphonsia Mwairafu.
Walimu hao wakiwa wameshika mipira ya kufundishia.
Watoto
wenye ulemavu wa akili wakiwa katika picha na wazazi, pamoja na walimu
wao baada ya kumaliza mafunzo ya mwezi mmoja ya Olimpiki Maalumu
Tanzania yaliyofikia tamati wilayani Temeke Dar es Salaam leo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...