Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipozindua Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Septemba 25, 2014.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) akifurahia zawadi ya kitenge alichokabidhiwa na Rais wa VOCOBA nchini , Devota Likokola (kushoto) kwa niaba ya wanachama wa Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA katika uzinduzi wa mfuko huo kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Septemba 25, 2014. Katikati ni Naima Malima, mke wa Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...