Balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake hapa nchini Bw.Marcel Escure (pili kushoto), akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng Binilith Satano Mahenge, alipokwenda kumuaga ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam na kumtambulisha kuu wa mahusiano mpya bwana Philippe Boncour wa (tatu kushoto) atakayekuwepo hapa Nchini . Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk. Julius Ningu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng Binilith Satano Mahenge akieleza jambo kwa balozi wa Ufaransa aliyemaliza Muda wake wa kukaa hapa Nchini Bwana Marcel Escure alipowasili ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...