Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa kupita barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary akiendelea na kazi hiyo kwa kushirikiana na Wananchi wake.
Kazi ikiendelea.
Mapumziko kwa chakula cha mchana mara baada ya kuchapa kazi ya kutengeneza barabara.
Hongera wananchi hongera
ReplyDeleteSo much building is happening in Bongo these days, a decade from now this is going to be a different country from the one we knew as children (some of us were born slaves, mentally, from colonial indoctrination)
Safi Sana Muheshimiwa Mbunge! Endelea kuongoza kwa mifano.
ReplyDeleteMnahitaji vifaa vyenye uwezo wa kufanya kazi hiyo.
ReplyDeletembona vipo vifaa vingi vyenye uwezo wa kufanya kazi hiyo, tena ikafanyika kwa muda mfupi na mtu mmja tu, wake up Africa, mtalala mpaka lini? katika karne hii ya 21. bara linatia aibu hili, haliana hata ufikirio, wala upembuzi wa maswala yake yanayotuhusu ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na mengineyo mengi
ReplyDeleteAlitakiwa acoordinate vpatikane hivyo vifaa, siyo kufikiria na kutenda kisiasasiasa tu...tena yeye akiwa moja wa viongoz vijana waliopgwa msasa na Obama tunatarajiaubunifu zaid ya hapo...siyo kwa vile Nyerere alilima mashamban kwa jembe la mkono na wananchi waketakriban miongo mitano iliyopita nawe ufanye vivyohivyo miongo mitano baadaye...
ReplyDelete