Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary (anaeonekana kunyanyua kitu) akishirikiana na baadhi ya Wananchi wa vijiji vya Ushili na Sura Arumeru Mashariki kuchimba sehemu inayotakiwa kupita barabara ya Sawmill- Ushili mpaka Sura.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassary akiendelea na kazi hiyo kwa kushirikiana na Wananchi wake.
Kazi ikiendelea.

Mapumziko kwa chakula cha mchana mara baada ya kuchapa kazi ya kutengeneza barabara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hongera wananchi hongera
    So much building is happening in Bongo these days, a decade from now this is going to be a different country from the one we knew as children (some of us were born slaves, mentally, from colonial indoctrination)

    ReplyDelete
  2. Safi Sana Muheshimiwa Mbunge! Endelea kuongoza kwa mifano.

    ReplyDelete
  3. Mnahitaji vifaa vyenye uwezo wa kufanya kazi hiyo.

    ReplyDelete
  4. mbona vipo vifaa vingi vyenye uwezo wa kufanya kazi hiyo, tena ikafanyika kwa muda mfupi na mtu mmja tu, wake up Africa, mtalala mpaka lini? katika karne hii ya 21. bara linatia aibu hili, haliana hata ufikirio, wala upembuzi wa maswala yake yanayotuhusu ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na mengineyo mengi

    ReplyDelete
  5. Alitakiwa acoordinate vpatikane hivyo vifaa, siyo kufikiria na kutenda kisiasasiasa tu...tena yeye akiwa moja wa viongoz vijana waliopgwa msasa na Obama tunatarajiaubunifu zaid ya hapo...siyo kwa vile Nyerere alilima mashamban kwa jembe la mkono na wananchi waketakriban miongo mitano iliyopita nawe ufanye vivyohivyo miongo mitano baadaye...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...