Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akizungumza na Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Bi. Sri Mulyani Indrawati watatu kutoka kushoto pamoja na ujumbe alioambatana nao kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Wadau hao wa Maendeleo.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akitoa zawadi kumkabidhi Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati kushoto kwake mara baada ya kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya Barabara.
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kulia akimshukuru Mkurugenzi Mkuu kutoka Benki ya Dunia Sri Mulyani Indrawati mara baada ya kufanya mazungumzo na Waziri Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...