ForumCC imewakutanisha wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar katika Mkutano Mkuu wa Mwaka ili kutoa ripoti ya mafanikio na kujadili changamoto zilizopo katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi
Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Counciljijini Dar es Salaa
Mjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa
Simon na Timon kutoka KAS Ujerumani na Afisa Mawasiliano wa ForumCC, Tajiel Urioh (katikati) wakifuatilia mada wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika British Council jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...