Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo. |
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia) |
Umati wa wakazi wa mji wa Himo wakisiliza
kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa hadhara wa
Mh James Mbatia aliofanya katika uwanja wa Ghalani. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Kumekucha Vunjo (2015).... ngoja tumsikilizie mzee wa Kilalacha atakuja kivipi.....
ReplyDeleteHiyo gari ya ubalozi gani katika shughuli za kisiasa????
ReplyDeleteMbona ana tembelea gari ya kibalozi? Ubalozi gani umetoa gari yake itumike kwenye siasa?
ReplyDelete