Meneja
wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher
Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na
Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu
juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi
mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia
ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa
Mwandamizi matekelezo.
Msanii aliyeng'ara na Kundi la Wagosi wa Kaya, Fred Maliki 'Mkoloni'akichangia mada wakwati alipokuwa akiuliza swali katika semina hiyo
Baadi ya wanamuziki wa muziki wa dansi wakiwa katika semina hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa taarabu Siza Mazongela alikuwa ni mmoja wa wasanii walioshiriki katika semina hiyo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...