Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara leo baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi. Taarifa kamili ya tukio hilo zinatafutwa kwa sasa angalkia taswira za mzoga huo




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Oh! Gosh, sikujua kumbe nyangumi ni samaki mkubwa kiasi hiki? Lo! nafurahi kwamba nimemfahamu. Huenda kafa kwa kuzeeka au ndio tatizo la uvuvi haramu wa samaki limemkumba na nyangumi.

    ReplyDelete
  2. KWA UKUBWA WA NYANGUMI HUYO NI MTOTO

    ReplyDelete
  3. Amazing!!It is one of the remaining rare species.The Natural resources authority in TZ could use any means to preserve it in a museum/backyard museum/exterior museum/special museum(because of its size) for tourism purposes.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...