Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali wa ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Gabriel Madebe akifungua semina ya wadau ya uhamasishaji wa matumizi takwimu za kilimo zinazopatikana kupitia Kanzi rasmi ya takwimu za kilimo inayopatikana katika anwani ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu ya www.nbs.go.tz leo jijini Dar es salaam.
Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO) Bi. Julia Stone akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa semina ya uhamasishaji wa matumizi ya Kanzi ya takwimu za Kilimo nchini leo jijini Dar es salaam.
Mratibu wa Kanza ya Takwimu za Kilimo Tanzania Bw. Basike Mteleka akijibu maswali ya wadau mbalimbali waliohudhuria semina ya uhamasishaji wa matumizi ya Kanzi ya takwimu za Kilimo nchini.
Wadau mbalimbali waliohudhuria semina ya uhamasishaji wa matumizi ya Kanzi ya takwimu za Kilimo nchini Tanzania wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa semina hiyo leo jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...