Mhandishi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) Bi. Valentine Kayombo akiwaeleza waandishi wa Habari(Hawapo
pichani) faida zitakazopatikana kutokana na kukamilika kwa Kituo hicho ikiwamo
kuongeza ufanisi wa utoaji huduma za uongozaji ndege, wakati wa Mkutano
Uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) leo Jijini Dar es
Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Mamlaka Hiyo Bi. Bestina Magutu.
Inspeka
Mwandamizi Idara ya Udhibiti Usalama wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) Bw. Redemptus Bugumula akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu ongezeko la
marubani wanawake nchini ambao wanafikia Takribani Kumi kwa sasa wakati wa
Mkutano Uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar
es Salaam.Kulia ni Mhandisi Mkuu toka Mamlaka Hiyo Bi.Valentine Kayombo.
Afisa
Habari wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bi. Bestina Magutu
akiwaeleza waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kukamilika kwa maboresho
ya kituo cha Mawasiliano ya Radio kwa ajili ya usafiri wa anga kilichopo Mnyusi
mkoani Tanga, kilichojengwa na kampuni ya JATRON ya Norway, wakati wa Mkutano
Uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jijini Dar es
Salaam.Kushoto ni Mhandisi Mkuu toka Mamlaka Hiyo Bi. Valentine Kayombo.Picha
na Hassan Silayo-MAELEZO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...