Jabali la Muziki Marijani Rajabu "Namsaka Mbaya Wangu"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Changamoto kwa kizazi kipya kutunga nyimbo ambazo zitaishi umri mrefu kuliko wao!!

    Na sio lazima iwe maneno katika wimbo, inawezekana melody tu ikabaki muda mrefu kwenye nyoyo za wasikilizaji!

    Hivyo, tungeni "verse" lakini muwe wabunifu kuunda hizo melody!!

    RIP Marijani Rajabu!!

    ReplyDelete
  2. Hey Michuzi - Umenigusa na wimbo huu Umenikumbusha mbali. Mziki huu ulikuwa unausikia ama idhaa ya biashara au idhaa ya taifa ya radio Tanzania Dar es Salaam .. hasa nakumbuka kipindi cha "mchana mwema". Kadi za salamu zinasomwa... eeebwana eeeh !

    Naomba mara moja moja uandike historia za wanamuziki kama huyu Marijani Rajabu wa Super Bomboka !

    Kuna wimbo mwingine sijausikia siku nyingi sana.... wanazungumzia raha za Dar es Salaam.. maneno yake kama hivi

    Mtoto wa mjini ninayo sababu ya kuringa.. moyo wani gonga gonga sijui raha nimkabidhi nani... Makumbi ya starehe huko na huko nifanyeje

    Eee Dar es Salaam ya yachemaka kama bahari jamani.. makumbi ya starehe huko na huko ni fanyeje..

    sinkinde ngoma ya ukae,
    msondo ngoma,
    Kamanyola bila jasho,
    Super troopers,

    Ee bwaana eee...Dar es Salaam tambarare toke siku nyingi bwana !!!

    Ni mimi mdao wako wa nguvu ... mishe mishe zangu zimekuwa nyingi tu sikuhizi ila big up always...


    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...