Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kulia)akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)Simu aina ya Samsung E1205 yenye tochi na redio yenye thamani ya shilingi 25,000 tu.Zitakazopatikana katika Nusu fainali ya Dance 100 itakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,pamoja nae kushoto ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,Kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto) akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)Simu aina ya Samsung E1205 yenye tochi na redio yenye thamani ya shilingi 25,000 tu.Zitakazopatikana katika Nusu fainali ya Dance 100 itakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,pamoja nae kulia ni Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga,Kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Meneja wa huduma na bidhaa wa Vodacom Tanzania,Liginiku Milinga(kulia)akiwaonesha waandishi wa habari(hawapo pichani)Modem yenye ubora wa 3G inayouzwa kwa shilingi 25,000 tu katika Nusu fainali ya Dance 100 itakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,pamoja nae kushoto ni Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,Kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...