Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Bw. Salum Chima akizungumza wakati akifungua semina ya Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika  (Kanda ya Kinondoni) mkoani Tanga leo

Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya Kinondoni (inayojumuisha wilaya za Kibaha,Bagamoyo na mkoa wa Tanga),Bi. Zahra Kayugwa akizungumza na washiriki wa semina ya Mfuko wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika (Kanda ya Kinondoni) mkoa wa Tanga leo.
Maafisa kutoka makampuni mbalimbali katika (kanda ya Kinondoni )mkoa wa Tanga wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa leo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. PPF NANYI KUBALINI MABADILIKO YA NYONGEZA YA PENSENI BAADA YA KYSTAAFU MFANYA KAZI APATE ZAIDI YA NUSU YA MSHAHARA WAKE. kWA NINI MIFUKO MINGINE WANAWALIPA ZAIDI YA ASILIMIA 60? mTU AAANATAMANI KUHAMA KWENDA MIFUKO INAYOLIPA ASILIMIA 60 YA MSHAHARA WAKE BAADA YA KUSTAAFU. NINYI MMENGANGANIA ASILIMIA 50 MPAKA LINI? FANYENI MABADILIKO. MTEJA WENU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...