Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Bw. Salum Chima akizungumza wakati akifungua semina ya Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika (Kanda ya Kinondoni) mkoani Tanga leo
Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya Kinondoni (inayojumuisha wilaya za Kibaha,Bagamoyo na mkoa wa Tanga),Bi. Zahra Kayugwa akizungumza na washiriki wa semina ya Mfuko wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali katika (Kanda ya Kinondoni) mkoa wa Tanga leo.
Maafisa kutoka makampuni mbalimbali katika (kanda ya Kinondoni )mkoa wa Tanga wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa leo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
PPF NANYI KUBALINI MABADILIKO YA NYONGEZA YA PENSENI BAADA YA KYSTAAFU MFANYA KAZI APATE ZAIDI YA NUSU YA MSHAHARA WAKE. kWA NINI MIFUKO MINGINE WANAWALIPA ZAIDI YA ASILIMIA 60? mTU AAANATAMANI KUHAMA KWENDA MIFUKO INAYOLIPA ASILIMIA 60 YA MSHAHARA WAKE BAADA YA KUSTAAFU. NINYI MMENGANGANIA ASILIMIA 50 MPAKA LINI? FANYENI MABADILIKO. MTEJA WENU
ReplyDelete