
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga akifungua
hafla ya lishe bora iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini
Arusha kwa kushirikiana na wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades
formulation pamoja na airish Aid yenya kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA
yaliyofanyika katika hospitali ya wilaya ya Monduli
Meneja
masoko wa Redio 5Bi.Sarah Keiya akizungumza katika hafla ya lishe bora
iliyoandaliwa na kituo cha redio 5 cha jijini Arusha kwa kushirikiana na
wadau wa KABI, AVRDC,Hort Tengeru,Inades formulation pamoja na Airish
Aid yenye kauli mbiu ya LISHE BORA KWA AFYA yaliyofanyika katika
hospitali ya wilaya ya Monduli .
Sehemu ya wageni waliohudhuria hafla hiyo
Meneja mbunifu wa redio 5 Vicky Mwokoyo kulia,katikati meneja biashara Angela Maina wakiwa wanamkabidhi vifaa vya upimaji magonjwa kwa mganga mkuu wa hospitali ya wilaya Monduli Zavery Benela iliyotolewa na kampuni ya Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...