Tunapenda kuwataarifu wadau wetu kuwa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) zimehama kutoka ghorofa ya sita jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenda ghorofa ya kwanza jengo la Airtel, makutano ya Barabara za Ally Hassan Mwinyi na Rashid Kawawa, eneo la Morocco, Dar es Salaam.

Wasiliana nasi kwa anuani zetu mpya ambazo ni:-
Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi,
S.L.P 3815,
Dar es Salaam.
Simu: +255 22 292 6032
Nukushi: +255 22 292 6033
Baruapepe: info@pdb.go.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...