MAREHMU BAHATI MWAKABUNGU ENZI ZA UHAI WAKE

WANAFUNZI AMBAO TUMEPITA CHUO CHA BIASHARA KITUO CHA DAR ES SALAAM (CBE) TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA ALIYEKUWA MWANAFUNZI MWENZETU BAHATI MWAKABUNGU AMBAYE AMEFARIKI JUZI HAPA DAR ES SALAAM.

MSIBA UPO KWA KAKA YAKE NOEL MWAKABUNGU MAENEO YA BUZA JIJINI DAR ES SALAAM, TAARIFA KUTOKA KWA WANA FAMILIA WANASEMA MAZISHI YATAFANYIKA LEO TAREHE 3/09/2014 KATIKA MAKABURI YA KINONDONI MUDA WA ALASIRI.

KWA TAARIFA ZAIDI UNAWEZA KUWASILIANA NA NAMBA HII:

0718277409

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...