Wafanyakazi
wa kampuni ya Airtel Tanzania (kutoka kushoto), Kema Mabango, Abdallah
Gunda na Jackson Mmbando wakishiriki katika shindano la kukuna nazi
wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya
Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.
Washindi wa shindano la kukuna nazi wakishow love. Kutoka
(kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, Jackson
Mmbando na Mshindi wa Tatu, Kema Mabango
(kushoto), Mshindi wa Kwanza, Abdallah Gunda, Mshindi wa Pili, Jackson
Mmbando na Mshindi wa Tatu, Kema Mabango
Watoto
wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania wakiogelea wakati wa Siku
ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.
Watoto
wa wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Tanzania wakishiriki katika
michezo wakati wa Siku ya Wanafamilia ya Airtel, iliyofanyika katika viunga vya Fun City Kigamboni jijini Dar es salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...