Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma, akifungua warsha
ya kupitia sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku Zanzibar iliyofanyika Hoteli
ya Zanzibar Beach Resourt Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Mshauri wa Ufundi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika William
Onzivu akizungumza na washiriki wa warsha hiyo (hawapo pichani) katika Hoteli ya
Zanzibar Beach Resourt.
Afisa kutoka Bodi ya Mapato Tanzania (TRA)
akitoa mchango katika warsha ya kupitia sheria ya matumizi ya tumbako
iliyofanyika Hotelini hapo. Kulia Mwenyekiti wa warsha hiyo Dkt Mohd Dahoma.
Wajumbe wa warsha ya kupitia sheria ya
kudhibiti matumizi ya tumbaku wakifuatilia sheria hiyo ilipowasilishwa na Mwanasheria wa Wizara ya Afya Amina Jabir (hayupo
picha).(Picha na Makame Mshenga-Maelezo
Zanzibar).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...