Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu akiongoza kikao cha Bunge hilo Septemba 27, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd wakiteta Bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Stephene Wasira akichangia Bungeni mJini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
hawa watu wanatuwekea usiku sana sijui lini watatuachia..........tumekua watu tusio na mbele wala nyuma........ila yanga ya mwaka huu, patachimbika msimu huu wa ligi........
ReplyDelete