Mwakilishi
wa Mauzo ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Temeke, Bw. Alen
Mwebuga (kushoto), akimkabidhi Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha Mbagala
Round Table Maternity Home, Dkt. Baturi Luhanda, mfano wa Hundi ya sh.
Milioni 20, kwa ajili ya kusaidia kuchimba kisima cha maji. Wengine
katika picha ni Afisa Uhusiano wa TBL, Bi. Doris Malulu (wa pili kulia),
Mhandisi wa mradi huo, Bw. Onesmo Zakaria na Rais wa Rotary Klab Agnes
Batenga.
Home
Unlabelled
TBL YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI ZANZIBAR NA MBAGALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
INNA LILAH WAINA ILAIHI RAJIUUN
ReplyDeleteBora kuwa macho kulaks kuwa moyo