Rais
wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa Martina
Maurizio (kulia), akiwaelekeza jambo wachezaji wa mchezo huo walioko
kambini Dar es Salaam jana. Wachezaji sita wa timu hiyo wanatarajia
kuondoka Septemba 28 mwaka huu kwenda nchini Albania kushiriki
mashindano ya dunia ya mchezo huo.
Wachezaji hao sita wakiwa wameshika bendera ya timu hiyo. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa Martina Maurizio.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Huyo wa kwanza kushoto miguu du!! afadhali ugongwe na chuma.
ReplyDeleteMbona wapo uchi? Gii za chini ziko wapi?
ReplyDelete