Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mbona hiyo kila kitu kilishawekwa wazi? Sasa tume ya nini tena au ndiyo mtindo wetu tunaweka tume kila kitu. Taarifa iliyotolewa bungeni inatosha na wale walioonewa wapo na wanajulikana na imeonekana kweli wameonewa na wanahitaji fidia. Sasa mambo gani tena ya kuvuta vuta vitu kama ni kuwalipa fidia wanajulikana watafutwe.....siyo kuunda unda tume zisizo na mwisho. Fanyeni kazi kwa uhakika na kwa weledi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...