Home
Unlabelled
Tume Operesheni tokomeza Ujangili nchini yaanza rasmi kupokea taarifa na malalamiko ya wananchi juu ya utekelezaji wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona hiyo kila kitu kilishawekwa wazi? Sasa tume ya nini tena au ndiyo mtindo wetu tunaweka tume kila kitu. Taarifa iliyotolewa bungeni inatosha na wale walioonewa wapo na wanajulikana na imeonekana kweli wameonewa na wanahitaji fidia. Sasa mambo gani tena ya kuvuta vuta vitu kama ni kuwalipa fidia wanajulikana watafutwe.....siyo kuunda unda tume zisizo na mwisho. Fanyeni kazi kwa uhakika na kwa weledi.
ReplyDelete