Tiketi na bei ya nauli za jiji la Dar es salaam enzi hizo. Wenye data tunaomba kumbukumbu zenu. Mjadala ruksa mradi usichafue hali ya hewa....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hahahahahaha dah we acha tu sijui ndio tuna kwenda mbele au tunarudi nyuma maana hata sijielewi...

    ReplyDelete
  2. Mabasi ya suchak...Leyland daf, mbele yameandikwa Riziki kwa Mungu....nyuma yameandikwa, tim motto yuleee....

    ReplyDelete
  3. Wanafunzi thumuni!! Kweli tumetoka mbali!! Tshs sasa inaota mbawa, noti 500 bye bye! Tukiendelea hivi tutakuwa na sarafu ya 10,000/

    ReplyDelete
  4. Sasa hiZi tiketi za mwaka gani?

    ReplyDelete
  5. itakuwa miaka kadhaa kabla ya 1989

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...