Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Margareth Sitta akifungua semina ya Wanawake iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na harakati za uchaguzi iliyofanyika leo 13 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Pindi Chana akiwahutubia baadhi ya wanawake na wanaume waliohudhuria semina maalum iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na harakati za uchaguzi iliyofanyika leo 13 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mwakilishi wa Shirika la Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) akichangia mada wakati wa semina ya wanawake iliyofanyika leo 13 Septemba, 2014 ambayo ikihusu iliyohusu kuwawezesha wanawake katika masuala ya uongozi, utatuzi wa migogoro pamoja na harakati za uchaguzi iliyofanyika leo 13 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa mada toka kwa viongozi wakati wa semina hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tunajaribu kuisukuma hii nadharia kisiasa lakini bado hatijafika kwenye hatua ya 50/50.Practically, we still have a long way to gooo

    ReplyDelete
  2. Mi nawashauri wanawake waikimbilie "legislation" ya 50/50, huo bado ni ubaguzi wa kinamna namna! Mi ninachoamini, na imekwisha thibitishwa kibiologia na kijenetikali, wanawake wana uwezo mkubwa zaidi ya wananume, hivyo wanachotakiwa ni kutambua uwezo wao, wajitume kwa kadri ya nguvu zao zote, watajishtukia wanapata fursa nyingi zaidi na inafikia zaidi ya 70/30 (wanawake 70%).

    ReplyDelete
  3. Jamani anna abdala bado tu ! sura yake imechooooka! heh! tokea tunazaliwa, tumesoma vidudu, primary, secondary, chuo na sasa tunafanyakazi, tunasubiri muda wa kustaafu bado yupo tu! jamani ifike mahali hawa wazee wapumzishwe kwa nguvu! hhhhe!1

    ReplyDelete
  4. Hakuna alie na tatizo la representation ya wanawake kwa 50/50 hata ikibidi 80/20 lakini kinachotakiwa kufanyika ni kuwaondolea wanawake vikwazo "glass ceiling" ili waweze kucompete na wanaume in an equal basis na hapo ndipo kama taifa tutaona matunda yake.Lakini ilivyo sasa hivi tunavutwa zaidi kutimiza malengo ya kisiasa yanayo angalia idadi zaidi kuliko uwezo wa wanawake.Na si sahihi..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...