Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko
juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la
Katiba leo 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa kundi la 201 ya Bunge
Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Francis Michael akikanusha kuhusu madai ya wajumbe
wa kundi hilo kupewa rushwa kuhusu mchakato wa Katiba Mpya.
Sheikh Hamid Jongo akiviasa vyombo
vya habari kutoa ushirikiano ili kuhakikisha kuwa mchakato wa kupata Katiba Mpya
unafanikiwa kwakuwa hata wao (vyombo vya habari) unawahusu pia.
Askofu Donald Mtetemela akichangia
mada wakati wa mkutano wa kutoa tamko kuhusiana na tuhuma mbalimbali dhidi ya
kundi la 201.
Baadhi ya wajumbe wa kundi la 201
pamoja na waandishi wa habari wakifuatilia tamko hilo leo 03 Septemba, 2014
katika mkutano uliofanyika ukumbi wa Spika Bungeni mjini Dodoma.(Picha zote
na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...