Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Magomeni Hospitali karibu na Travertine Hotel, Dar es Salaam

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi hapo ni njia panda ya Magomeni...

    ReplyDelete
  3. MAGOMENI KAWAWA/MOROGORO ROADS

    ReplyDelete
  4. Magomen, barabara yenye vituo viwili vya BRT ni Morogoro road na ile ya kulia inayojengwa pia ni BRT lanes (KAWAWA ROAD) Jengo jeupe ni HOTEL maarufu eno hilo

    ReplyDelete
  5. Hapo ni Gamboshi - Bariadi

    ReplyDelete
  6. ni magomeni mapipa. kwenye traffic lishts. pembeni msikiti wa kichangani na hoteli traveltime.

    ReplyDelete
  7. Junction ya Kawawa/Mpiji na Moro Road. KKKT, Magomeni Hospital na Town Council hapo. Hivi fly over hapo haitajengwa tena?
    Born here here Blackmpingo

    ReplyDelete
  8. MAGOMENI KAMA UNATOKEA TOWN

    ReplyDelete
  9. Makutano ya Barabara ya Morogoro na Kawawa (Magomeni)

    ReplyDelete
  10. kawawa road na morogoro road magomeni mapipa msikiti wa kichangani sokoni magomeni hospital magomeni mkabala na kanisa la kkt karibu na garden ya magomeni. au vp wadau na travertine na shell

    ReplyDelete
  11. Hapo ni Mgomeni mapipa kwenye mataa. naona sheli , kanisa kkkt na traventine hoteli.

    ReplyDelete
  12. makutano ya kawawa na morogoro road magomeni

    ReplyDelete
  13. Junction ya magomeni ukitokea kinondoni mkwajuni na ubungo kwenda fire....vurugu hapo kama kabul vile na ujenzi wao wa DRBT yao.

    ReplyDelete
  14. magomeni mapipa inaoekana kanisa la ELCT linakarabatiwa,msikiti,kituo cha mafuta na ofici ya DC kinondon,mwanzoni wa picha hapa chini restaurant ya butiama kuna pilau matata pale..

    ReplyDelete
  15. Hapo ni Magomeni

    ReplyDelete
  16. Hapo ni Magomeni Junction ya Barabara ya Morogoro na Kawawa. Hapo katikati ya Barabara ya Morogoro ni vituo vipya vya Mabasi yaendayo kasi (vyenye paa la Kijani). Hapo kwenye junction, jengo linaloonekana kulia likiendelea na ujenzi, ni Kanisa la KKKT Magomeni Mviringo na kushoto ni Msikiti.

    ReplyDelete
  17. Hapa ni magomeni Mapipa, upande mmoja kanisa la KKKT opposite Hospitali ya Magomeni, upande wa pili kuna Petrol Station iliyopakana na Soko na nyuma yake Traveltine opposite kuna Msikiti wa Mchangani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...