Mstafa Yahaya mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la “Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye Viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mshiriki wa shindano la Dance 100% Isyaka Ramadhan wa Kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao ikiwa ni sehemu ya kujindaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la”Tatanisha Dancers” Mabibo jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa nusu fainali ya shindano hilo lililoandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay .
Mshiriki wa shindano la Dance 100% wa kundi la”Tatanisha Dancers” la Mabibo jijini Dar es Salaam Mstafa Yahaya akionesha umahiri wake wa kudansi wakati wa mazoezi yao ya kujindaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)akiongea na baadhi ya washiriki wa Dance 100% wa Kundi la Tatanisha Dancers wa Mabibo jijini Dar es Salaam, wakati alipowatembelea kambini kwao Mabibo,wanakojiandaa na nusu fainali ya shindano hilo litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu kwenye viwanja vya Don Bosco Oysterbay.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...