Meneja wa Bia ya Balimi Extra Lager, Edith Bebwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mbio za Mitumbwi Kanda ya Ziwa, zijulikanazo kama “Balimi Boat Race” iliyofanyiak Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huko kwenye Olimpiki watu wanajizolea medali za bure kwa kukata makasia. Sisi ndugu zetu wa ukanda wa Ziwa ni mahodari sana kwa kukata makasia. Je hakuna uwezekano wa kuwaingiza katika Olimpiki zijazo? Naomba kuwasilisha.

    ReplyDelete
  2. Balimi mtengeneze Video tafadhali na kutupia hapa Michuziblogu bila kusahau YouTube.

    Mdau
    Diaspora

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...