Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisindikizwa kuingia kwenye kasri ya Mfalme wa Sweden ili kuwasilisha hati zake za utambulisho.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuonana na Mfalme wa Sweden kasri ya Mfalme wa Sweden akipofika kuwasilisha hati zake za utambulisho.
Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akikaribishwa kuonana na Mfalme wa Sweden kuwasilisha hati za utambulisho
Baada ya kuwasilisha hati za utambulisho jioni yake kulifanyika hafla iliyoandaliwa na jumuiya ya Watanzania nchini Sweden kumkaribisha rasmi. Hapo Balozi Dorah Msechu akiamkia kadamnasi ya Watanzania kwenye sherehe hiyo.
Kwa picha zaidi tembelea libeneke la ubalozi
wa Tanzania nchini Sweden... BOFYA HAPA
Balozi Dora mwana Diplomasia uliobobea umeshine kweli kweli tunajisikia kuwa tumewakilishwa.
ReplyDelete