Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka na kivuko cha MV.Pangani
kuelekea Wilaya ya Tanga mjini ambapo anatazamiwa kukagua miradi mbali
mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo,wengine pichani ni Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Pangani
Ndugu Hamis Mnegero.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Pangani baada ya kuvuka na MV.Pangani
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi waliojitokeza kumuaga wakati akielekea Tanga mjni.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kata ya Kigombe ,Pangani ambapo aliwaeleza lazima kuwa makini katika kuchagua viongozi wa kijiji kwani wengi wamekuwa wakiuza ardhi ya wananchi kiholela na kusababisha matatizo makubwa ya ardhi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Tanga mjini Mh.Omari Nundu wakati wa mapokezi katika kata ya Marungu wilaya ya Tanga mjini.
Wananchi wa kata ya Marungu wakifurahia ujio wa Katibu Mkuu wa CCM kwenye kata yao.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Bwana Kinana, mimi ninampendekeza agombee urais chini ya CCM.
ReplyDelete