Balozi wa Tanzania Ubelgiji ya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili Kutoka kulia) akimkabidhi cheti cha utambuzi Bwana Saitoti kumshukuru kwa kazi nzuri anayofanya ya kutafuta fedha Ubelgiji ya kusaidia kupambana na Umaskini Handeni Tanzania. Bwana Saitoti ametafuta fedha za kusaidia kutekeleza miradi ya maji Handeni. Balozi Kamala amekabidhi cheti hicho leo Ubelgiji- Antiwerpen. Balozi Kamala amesema kila mwaka Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji utakuwa unatoa vyeti mbalimbali vya kutambua kazi nzuri zinazofanywa na Asasi Zisizo za Kiserika za kutafuta fedha ya kusaidia kutekeleza miradi mbalimbali Tanzania.
Home
Unlabelled
BALOZI KAMALA AMKABIDHI CHETI CHA UTAMBUZI BWANA SAITOTI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...