Balozi Mulamula, Viongozi wa DICOTA pamoja na Maafisa kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani wakimsikiliza Balozi Sefue (hayupo pichani) BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI |
Home
Unlabelled
BALOZI SEFUE KUFUNGUA RASMI MKUTANO WA BARAZA LA DICOTA MJINI DURHAM, MAREKANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
baniani mbaya, kiatu chake......
ReplyDeleteTumewaona mara nyingi viongozi wetu wanakuja huku na kusema mengine na kututaka tuzidi kuchangia maendeleo ya nchi yetu, na wakirudi nyumbani wanageuza maneno na kutudhihaki kila tulichojadili hususan suali la uraia pacha. Ona si wamekataa kata kata kwenye katiba, lakini kila wakija huku maneno ndio yale yale kuwa wanafahamu umuhimu wa uraia pacha na kwa nini tuliopo ughaibuni tunasisitiza uruhusiwe nchini Tanzania