Home
Unlabelled
HAPA VIPI??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ushauri wa bure kwa serikali. Kama serikali haina uwezo wa kusimamia hizi sheria isiwe inazitunga. Madereva wanagonga hovyo alama za barabarani lakini hawachukuliwi hatua. Hata hiyo wataigonga tu..na serikali itakaa kimya. Kodi zetu jamani. Madeni mengi. Chukueni hataua.
ReplyDeleteNi sheeeeeeda!.....
ReplyDeleteMirori kbao
kama hutaki magari yaegeshe kwenye hifadhi ya barabara, basi unapojenga barabara basi jenga na maegesho halali vinginevyo tangazo hilo ni uzuzu tu, tatizo tunaiga bila kujifunza maana
ReplyDeleteaiseee......Wacha kabisa.hii ndio bongo yetu bwana! mtuachee please.
ReplyDelete