Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ushauri wa bure kwa serikali. Kama serikali haina uwezo wa kusimamia hizi sheria isiwe inazitunga. Madereva wanagonga hovyo alama za barabarani lakini hawachukuliwi hatua. Hata hiyo wataigonga tu..na serikali itakaa kimya. Kodi zetu jamani. Madeni mengi. Chukueni hataua.

    ReplyDelete
  2. Ni sheeeeeeda!.....
    Mirori kbao

    ReplyDelete
  3. kama hutaki magari yaegeshe kwenye hifadhi ya barabara, basi unapojenga barabara basi jenga na maegesho halali vinginevyo tangazo hilo ni uzuzu tu, tatizo tunaiga bila kujifunza maana

    ReplyDelete
  4. aiseee......Wacha kabisa.hii ndio bongo yetu bwana! mtuachee please.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...