Jengo jipya linalojengwa na Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kukamilika kwake kutabadili taswira ya mji wa Moshi kwa kiasi kikubwa.Ni jengo ambalo limejengwa kisasa ambalo kukamilika kwake kutapendezesha mji wa Moshi. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya kaskazini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tunapongeza NSSF kuwekeza kwenye majengo ya kisasa. Jengo hili kweli litapendezesha mji wa moshi, wapangaji wenye ofisi na biashara mbali mbali wajipange ili kuweza kulitumia kikamilifu.

    ReplyDelete
  2. Sijui kama yatapata wapangaji...kumbuka mambo ya namna hiyo ndio yaliangusha uchumi wa America" Mae!

    ReplyDelete
  3. Liko maeneo gani moshi?

    ReplyDelete
  4. love the building truly i love it, this is what we call it the vision of 21ST century whether you like it or not its catch a lot of peoples eyes, its iconic , remarkable and attract a lot of business people accross the country,at the end nssf you made it and never stop untill vellage after village in all nation

    ReplyDelete
  5. Wapangaji lazima wapatikane maana uchumi supermarket tayari wameshachukua nafasi na tayari wanasubiria liishe wafungue supermarket yao na kuna hotel itafunguliwa hapo kwa mujibu wa habari nilizo nazo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...