Kali TV was invited to Jakaya Kikwete night in Washington DC two weeks ago. The night which mainly was focusing on honoring President Jakaya Mrisho Kikwete of Tanzania was organized by CCM political party USA branches. Take a look at some of the highlights.
Home
Unlabelled
JK Night in Washington DC by KALI TV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Dah! Ankal kumbe unatema yai kama huna akili nzuri. Yaani umewapiga bao hata hao waandaaji. Nimeiangalia hii video mata 3 na kuona jinsi ulivyoweka wazi mambo kibao. HONGERA Ankal. Kila siku nilikuwa nakuona wewe ni "Maimuna" kumbe wamo. Hata watoto wangu hapa Texas wanasema Ankal umeongea mambo ya msingi sana kuliko wote. Hongera sana. Ndio maana Blogu yetu ya jamii ni nambari wani. Kumbe una uelewa wa hali ya juu kuliko hata wakubwa wetu kibao....
ReplyDeleteHahaha kweli namuunga Anon hapo juu. Ankal uko juu ni shideer... kiinglishi umetisheeer����
ReplyDelete